Gari la Ujenzi wa likimwaga kifusi kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Ukutini- Matele shehia ya Chambani, Wilaya ya Mkoani, Pemba. Ujenzi huo unafadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) pamoja na nguvu za wananchi. (Picha na Haji Nassor).

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.