AFISA kutoka Kikosi cha Zimamoto na Uokozi (KZU) Pemba, Mkubwa Hamad Khamis akiwapa maelezo washiriki wa mafunzo ya kukabiliana na maafa, ambao ni watu wenye ulemavu, namna ya kutumia kifaa maaluma za kuzimia moto, mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Kukabiliana na Maafa iliochini ya Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba ) Share this:Click to share on Twitter (Opens in new window)Click to email this to a friend (Opens in new window)Click to share on LinkedIn (Opens in new window)Click to share on Reddit (Opens in new window)Click to share on Skype (Opens in new window)Click to share on WhatsApp (Opens in new window)Click to print (Opens in new window)Click to share on Telegram (Opens in new window)Click to share on Pocket (Opens in new window)Click to share on Facebook (Opens in new window)Click to share on Pinterest (Opens in new window)Click to share on Tumblr (Opens in new window)Like this:Like Loading...