afisa
Afisa kutoka Kikosi cha Zimamoto na Uokozi (KZU) Pemba, Mkubwa Hamad Khamis, akiwapa maelezo washiriki wa mafunzo ya kukabiliana na maafa, ambao ni watu wenye ulemavu, namna ya kutumia kifaa maalum cha kuzimia moto. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Idara ya Kukabiliana na Maafa iliyo chini ya Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Pemba. (Picha na Haji Nassor).

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.