Yaliojijiri Mahakamani Vuga jana dhidi ya Viongozi wa Uamsho

Published on :

Miongoni mwa Viongozi wa Uamsho walioendelea kukamatwa hivi karibuni ni Katibu wa Jumuiya hio ambae ni  Abdallah Said Ali (48)aliunganishwa  katika kesi inayowakabili viongozi wezake wanane wa Uamsho mjini Zanzibar. Kiongozi huyo kwa mara ya kwanza alifikishwa mahakamani jana na mwezake Fikirini Majaiiwa Fikirini (48) ambapo  walisomewa mashitaka manne likiwamo […]

Ofisi ya Mufti yazuia mihadhara ya upotoshaji kwa waislamu

Published on :

Taarifa ya ofisi ya Mufti Zanzibar imemtaka Bibi Salama Issa Kagire mwenyeji wa Tanzania Bara ambae huja Zanzibar akidai kuwa yeye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kusitisha mara moja mihadharayake ya upotoshaji Waislam hapa nchini. Taarifa hiyo iliyotolewa na kusainiwa na Kaimu Katibu wa Mufti Zanzibar Sheikh Suleima Omar Jongo […]