SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUUNGA MKONI JUHUDI ZA WANANCHI WAKE

Published on :

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Sheni akijiandaa kumkabidhi Mabetishiti 16 Mkurugenzi Tiba Dr. Salhia Alli Muhsini hapo Hospitali ya kivunge Mkoa Kaskazini Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea  kuunga mkono juhudi za Wananachi wake katika kuhakikisha changamoto pamoja na matatizo yanayowakabili Wananchi hao yanatekelezwa. Utekelezaji huo utaendelea […]

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ITAENDELEA KUUNGA MKONI JUHUDI ZA WANANCHI WAKE

Published on :

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea  kuunga mkono juhudi za Wananachi wake katika kuhakikisha changamoto pamoja na matatizo yanayowakabili Wananchi hao yanatekelezwa. Utekelezaji huo utaendelea kufanywa kwa pamoja kati ya Serikali, Taasisi na mashirika hisani kwa kuwajumuisha  na wananchi wenyewe kutegemea nguvu na uwezo unavyoruhusu kiuwezeshaji. Mke wa Rais wa […]

Sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaanza rasmi kesho kwa kazi za kufanya usafi wa mazingira katika Wilaya zote za Unguja na Pemba.

Published on :

Kwa mujibu wa Ratiba iliyotolewa na Kamati ya Sherehe na maadhimisho ya kitaifa imeonesha kuwa Miradi ipatayo 62 inatarajiwa kuzinduliwa katika Visiwa vya Unguja na Pemba. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete atafungua Skuli mpya ya Sekondari ya Mlimani, iliyopo Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa […]