Waandishi wa Habari kisiwani Pemba wakitembelea Bwawa la kufugia Samaki

 

Katibu wa Jumuia ya ‘Jambo group’ ya kijiji cha Kwazani, shehia ya Wambaa, Mkoani Pemba Hafidhi Juma Ali akiwaonyesha waandishi wa habari na Sheha wa shehia hiyo Mohamed Suleiman mwenye kofia, bwawa leola kufugia samaki likiwa jeupe baada ya miezi miwili iliopita, samaki wao 2800 aina ya mwatiko kufa kwa kuzidiwa na maji ya mvua (picha na Haji Nassor, Pemba)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.