Mkoroshoni Chake chake, Khamis Idd akizungumza katika ufungaji wa kikao
Sheha wa Shehia ya Mkoroshoni Chake chake, Khamis Idd akizungumza katika ufungaji wa kikao kilichoandaliwa na Idara ya Mahakama kwa wananchi wa shehia yake, ambapo Idara hiyo imo katika mchakato wa kuzipitia shehia mbali mbali, kwa lengo la kukusanya maoni kwa wananchi juu ya utendaji wao wa kazi Mahakamani (picha na Haji Nassor, Pemba)