Kada wa Chadema mahakamani kwa kubaka

Published on :

KADA maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Shafii Yatera (40), ameuanza vibaya mwaka 2013 baada ya kusherehekea Mwaka Mpya akiwa Gereza Kuu la Karanga mjini Moshi. Yatera  alipandishwa  kizimbani juzi mbele ya Hakimu mkazi, Sophia Masati akikabiliwa na tuhuma za kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 17 ambaye […]

Gazeti Ufaransa lachapicha tena katuni ya Mtume Muhammad (SAW)

Published on :

Gazeti moja la nchini Ufaransa linalojuulikana kwa jina la  Charlie Hebdo  leo limechapisha tena katuni za kiongozi wa Waislamu, Mtume Muhammad (S.A.W), hivi leo, ikiwa ni miezi kadhaa baada ya kitendo kama hicho kuzusha ghasia ulimwenguni. Msemaji wa serikali ya Ufaransa, Najat Vallaud-Belkacem, amesema kwamba ingawa huo ni uhuru wa […]

Sheha afunga Rasmi kikao cha Idara ya Mahakama kisiwani Pemba

Published on :

Mkoroshoni Chake chake, Khamis Idd akizungumza katika ufungaji wa kikao Sheha wa Shehia ya Mkoroshoni Chake chake, Khamis Idd akizungumza katika ufungaji wa kikao kilichoandaliwa na Idara ya Mahakama kwa wananchi wa shehia yake, ambapo Idara hiyo imo katika mchakato wa kuzipitia shehia mbali mbali, kwa lengo la kukusanya maoni […]

SMZ: Si rahisi kuzuia kuku kutoka Ulaya kuuzwa Z’bar

Published on :

Serikali  ya Mapinduzi Zanzibar, imesema haiwezi kuzuia kuku kutoka Ulaya wauzwe katika soko la Zanzibar. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Zanzibar, Asha Ali Abdulla, wakati akizindua mradi wa kuwajengea wajasiriamali uwezo Bwawani mjini hapa jana. Alisema ni kweli serikali imekuwa ikipokea […]