OFISA USALAMA AMVAMIA PADRI MKENDA MOI

Published on :

  MTU mmoja aliyejitambulisha kuwa ofisa usalama wa taifa, juzi usiku alizua balaa katika Taasisi ya Mifupa ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI), baada ya kutaka kuingia kwa nguvu wodini alikolazwa padri wa kanisa Katoliki, Ambrose Mkenda, aliyepigwa risasi na watu wasiojulikana hivi karibuni visiwani Zanzibar. Taarifa zilizolifikia gazeti hili […]

POLISI YASHIKILIA WAWILI KWA TUHUMA ZAKUMJERUHI PADRI KWA RISASI Z,BAR

Published on :

Jeshi la Polisi Zanzibar linawashikiliwa watu wawili kwa tuhuma zakumshambulia kwa  risasi Padri Paroko Amrosi mkenda mwenye umri wa miaka (52)mwishoni mwa wiki iliopita huko nyumbani kwake Tomondo. Naibu mkurugenzi wa Upelelezi Zanzibar ASP,Yussuf Ilembo alisema jana kuwa  watuhumiwa hao walikamatwa usiku wa kuamkia jana kwa ushirikiano wa jeshi la […]