MZINDAKAYA ASEMA MUUNGANO UKIVUNJIKA NI HATARI

Published on :

MBUNGE mstaafu wa Kwela,Sumbawanga mkoani Ruvuma, Chrisant Mzindakaya ameitaka katiba ilinde Muungano, kwa madai kuwa ukivunjika madhara yake kwa usalama wa nchi ni makubwa kuliko bomu.   Akizungumza jana jijini Dar es Salaam baada ya kuwasilisha maoni yake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzindakaya alisema kuwa hasara ya kuvunjika […]

MAFISADI ZANZIBAR WAWAJIBISHWE

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy   RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein ametakiwa kuchukua hatua madhubuti za kuwawajibisha watendaji wa Serikali wenye kufanya ubadhirifu wa fedha na kuisababisha Serikali hasara. Mwenyekiti wa Kamati ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika, Baraza la Wawakilishi, Omar Ali Shehe alitoa ushauri […]

RAZA AKABIDHI MSAADA KWA JESHI LA POLISI

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy Watendaji wa jeshi la polisi nchini wameshauriwa kuendeelea kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi ili waweze kuungwa mkono na wananchi katika kulinda amani na utulivu wa nchi.   Ushauri huo,umetolewa na Mwakilishi wa jimbo la Uuzini Mh, Mohamed Raza wakati akikabidhi vifaa vya ujenzi na michezo […]

JUSSA AMSHAURI DR:SHEIN KUBADILISHA BARAZA LA MAWAZIRI

Published on :

Imewekwa na Hamed Mazrouy Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe Mh: Ismail Jussa amemshauri Rais wa Zanzibar Dr, Ali Mohamed Shein  kuvunja Baraza zima la Mawaziri wake waliomo ndani ya Serikali hii ya Zanzibar kwani  wamekuwa wakishindwa katika suala zima la utekelezaji wa majukumu yao ya kazi kama wahusika wakuu […]