Mansoor afukuzwa CCM?

Published on :

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimemeguka baada ya Kamati Maalumu kumvua uanachama Mwakilishi wa Kiembesamaki, Mansoor Yussuf Himid, akidaiwa kukiuka maadili ya chama hicho. Uamuzi huo umekuja baada ya Mansoor kudaiwa kupingana na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, inayoamini katika muundo wa Serikali mbili.

Serikali Mbili zitavunja Muungano – Mwanasheria Mkuu Z’bar

Published on :

Awashangaa wanaotaka Zanzibar iendelee kuwa manispaa Asema kutokuwepo Serikali ya Tanganyika ndio kero kuu ya Muungano Awasuta wanaotaka Serikali Mbili Na Salim Salim. Mwanaseria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema lengo la mchakato wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si kuifanyia marekebisho […]

Serikali tatu pekee ndiyo itatupa amani

Published on :

Habel Chidawali, Mwananchi Dodoma. Watanzania wameaswa kuwa makini na kuukubali mfumo wa Serikali tatu kwani ndiyo pekee utakaoondoa malalamiko na kero za Muungano. Mbali na hilo wametakiwa kukumbuka na kuzionea huruma fedha za walipa kodi ambazo zimetumika kulipa tume 45 na vikao 50 vilivyoketi kujadili kero za Muungano kwa kipindi […]

Tukio hili lisiitie Zanzibar nzima lawamani

Published on :

Na Kerry Stokes. Mimi ninaishi Zanzibar na ninatamani ningeliweza kuyavunganya mazuri yote ya kisiwa hiki kidogo kwenye kipande cha pamba na kuyaweka kisandukuni na kugawana na ulimwengu. Hivyo nachukia kuona “nyumba” yangu hii ndogo ikiwa kwenye jinamizi kama hili. Ninahisi fadhaa kwa wasichana hao walioshambuliwa usiku wa jana Mji Mkongwe […]