SMZ MATAYARISHO YAKUHAMIA DIGITAL YAKAMILIKA

Published on :

Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar  29/12/2012   Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema matangazo ya mfumo wa Analogia yatazimwa rasmi katika Mikoa yote ya Zanzibar ifikapo Februari 28 mwakani ili kupisha mfumo mpya wa matangazo kwa njia ya Dijitali. Waziri wa habari, utamaduni, utalii, na Michezo Said Ali Mbarouk ameyasema hayo […]