Innalillahi wainna ilayhir raajiun! Zanzibar Daima imepokea taarifa ya kusikitisha kwa kuondokewa na Mama mzazi wa mmoja wawasomaji wetu mahiri sana Khatib Khatib (squre) anaeitwa Aziza Khatib sababu ya kifo chake ilikuwa ni prsha na maziko yatafanyika kesho maiti hio itaondokea Mfereji wa wima na kuzikwa katika makaburi ya Mwana kwerekwe saa saba mchana ,ukiskia tangazo hili muarifu mwenzio.

 

Kwa niaba ya Zanzibardaima tunatoa mkono wa pole kwa ndugu na majirani wote  kutokana  na msiba huu na insallah Mwenyezimungu aiweke roho ya marehemu mahala pema Peponi Amen.

2 thoughts on “TANGAZO LA KIFO KUTOKA KWA KHATIB (SQURE)”

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.