Padri afariki Dunia Zanzibar

Published on :

Uongozi wa kanisa katoliki jimbo la Zanzibar umekanusha uvumi ulionea kuwa Padre Peter Minja amefariki kutokana na kupanda presha iliyosababishwa na tukio la kupigwa risasi kwa Padre Amrose Mkenda wa kanisa katolikiwa parokia ya Mpendae lililotokea usiku wa kuamkia juzi.   Hayo yalielezwa na Msemaji wa Kanisa hilo ambae pia […]

Uchaguzi Oman shwari

Published on :

KARIBU Waomani 546,000 waliosajiliwa kupiga kura jana walijitokeza kwa wingi kuwachagua viongozi wao watakaowawakilisha katika Mabaraza ya Manispaa. Viti vilivyokuwa vikigombewa ni 192 kutoka mikoa yote ya taifa hilo la kiarabu, ambapo wagombea 1,475 wakiwemo wanawake 46 walishindana kuwania nafasi hizo.