Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) akiwa mbele ya Kaburi la Rais wa zamani wa Zanzibar Hayati Idris Abdulwakil, wakati alipozuru Kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja juzi. Rais Wakil alifariki dunia mwaka 2001. Dk Bilal alifika eneo hilo juzi katika ziara yake ya kuwatembelea wazee mbali mbali mkoani humo

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.