Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Ali Mohamed Juma (85) wa Mkokotoni Shangani, Kaskazini Unguja, wakati alipokuwa katika ziara yae ya kuwatembelea wazee kwa ajili ya kuwajulia hali tarehe 23 Disemba 2012. Mzee Ali huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu kutokana na umri.

 

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.