BOTI MPYA YA AZAM MARINE
BOTI MPYA YA AZAM MARINE

Mchuma wa Kampuni ya Azam Marine huo unaotarajiwa kuwasili nchini Machi 2013, kutoa huduma ya Usafiri kati ya Dar-es- Salaam -Zanzibar na Pemba, ili kupunguza tatizo la usafiri kwa Wananchi wanaotumia njia ya Usafiri wa Baharini. kupata faraja ya kuwa na vyombo vingi vinavyotoa huduma hiyo.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.