
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Dk. Ramadhani .K.Dau, akitowa maelezo ya malengo ya baadaye ya mfuko kwa wanachama wake wakati wa semina na Jukwaa la Wahariri Tanzania iliyofanyika katika hoteli ya Sea Cliff , Mangapwani Zanzibar.