USHINDI
Timu ya Taifa ya imefanikiwa kuifunga timu ya Rwanda katika michuano ya Kombe la Chalenji, baada ya kuifunga timu ya Rwanda kwa ushindi wa mabao 2–1,

Ushindi huo umeinufaisha timu ya Zanzibar kufikisha point 4, baada ya mchezo wake wa kwanza kutoka sare ya kutofungana na timu ya Eritrea,

Zanzibar imeandika bao lake la kwanza kupitia mshambuliaji wake Khamis Mcha ( Vialli) katika dakika ya tisa ya kipindi cha kwanza na katika dakika ya 60 ya kipindi cha pili cha mchezo huo

Na goli la timu ya Taifa ya Rwanda limefungwa na mshambuliaji wake Dadi Burodia, katika dakika ya 80 ya mchezo huo.Hadi mchezo huo unamalizika timu ya Zanzibar imetoka kifua mbele kwa mabao 2–1.

Group C

P W D L GF GA Pts
Zanzibar 2 1 1 0 2 1 4
Rwanda 2 1 0 1 3 2 3
Malawi 2 1 0 1 3 4 3
Eritrea 2 0 0 2 2 3 1

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.