Angalia ripoti ya Munir Zakaria wa Channel 10 kuhusu kurudishwa tena mahakamani kwa viongozi wa Jumuiya ya Kiislamu ya Uamsho visiwani Zanzibar, huku dhamana zao zikiwa bado zimezuwiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka wa Zanzibar kwa madai ya maslahi ya taifa.

One thought on “Uamsho waliporudishwa mahakamani tena”

  1. ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH
    Ahsanteni wazanzibari wezangu kwa kutoa habari na matangazo mbambali yanayojiri ktk dunia yetu kwa kila siku nawapa hongera sana, na nazidi kuiombea dua ili idumu.

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.