Bakwata yamkana Sheikh Ponda mahakamani

Published on :

Akitoa ushahidi wake jana huku akiongozwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Tumaini Kweka, Lolila ambaye ni shahidi wa kwanza wa upande wa mashtaka alidai kuwa eneo hilo awali lilikuwa likimilikiwa kihalali na Bakwata. BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limemkana Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda […]

Chuo kikuu cha Udom chaanza uchungiz juu ya wanafunzi wanaohusika na madai ya ngono

Published on :

Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udoso), imeanza kuchunguza tuhuma za baadhi ya wanafunzi kujihusisha na biashara ya ukahaba ili kuwachukulia hatua za kinidhamu. Udoso ilichukua hatua hiyo baada baadhi ya vyombo vya habari nchini kuripoti taarifa kuwa baadhi ya wanafunzi wa chuo hicho wanajihusisha na biashara hiyo […]

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kujenga miundombinu

Published on :

Viongozi wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki wamekubaliana kujenga miundombinu ya usafiri wa reli na bandari ili kuimarisha uchumi wa eneo hilo. Kwenye makubaliano hayo, Viongozi wa mataifa wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki wameafikiana kwa pamoja kuanzisha mpango wa ujenzi wa miradi ya miundombinu katika kipindi cha miaka kumi […]

Uamsho waliporudishwa mahakamani tena

Published on :

Angalia ripoti ya Munir Zakaria wa Channel 10 kuhusu kurudishwa tena mahakamani kwa viongozi wa Jumuiya ya Kiislamu ya Uamsho visiwani Zanzibar, huku dhamana zao zikiwa bado zimezuwiwa na Mkurugenzi wa Mashtaka wa Zanzibar kwa madai ya maslahi ya taifa.

Maelezo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais kuhusu Siku ya Ukimwi Duniani

Published on :

Mwaka umetimia tangu tarehe kama ya leo mwaka uliopita (2011) nilipotoa taarifa ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani kupitia vyombo vya habari vya hapa nchini. Nategemea kwamba sote tunaelewa kuwa tarehe 1 Disemba ya kila mwaka Dunia nzima huadhimisha siku hii kwa madhumuni ya kutafakari mafanikio yaliyopatikana na changamoto […]