Inaonekana tayari kura ya maoni juu ya hatima ya Zanzibar kwenye Muungano imeshapigwa, na maamuzi ya Wazanzibari yameshafikiwa – wanataka Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, Jamhuri ya Tanganyika na baadaye mahusiano ya kimkataba baina ya watakaoshiriki kwenye daraja nyengine ya ushirikiano. Huamini? Hebu sikiliza hii…..

 

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.