Baina ya Muungano wa kikatiba na wa mkataba

Published on :

Na Ahmed Rajab ULE mjadala mkubwa — na mkali— unaovuma na kuchaga Visiwani Zanzibar kuhusu mustakbali wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar umefichua jambo moja lenye kuwagusa na kuwaunganisha Wazanzibari wengi.  Nalo ni dai la kutaka pafanywe mageuzi ya kimsingi katika mahusiano baina ya hizo nchi mbili […]

Muungano wa mkataba ndio dira yetu

Published on :

Nafikiria wengi tumeyasikia maneno ya Mheshimiwa Mansour Yusuf Himid, mwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki na waziri mwandimizi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Nataka kwanza kumpongeza kaka yetu Mansour kwa ujasiri wake na mapenzi yake kwa Zanzibar na kwa Tanzania kiujumla. Mheshimiwa Mansour amegusia suala muhimu katika mustakabali wa Muungano […]