Jeshi la Sudan limesema linasonga mbele kuukomboa mji wa Heglig ambao umetekwa na majeshi ya Sudan ya Kusini kwa siku ya tatu sasa, huku Sudan ya Kusini imesema itaondoka tu kwenye eneo hilo lenye utajiri wa mafuta, ikiwa Umoja wa Mataifa utapeleka wanajeshi wake. Endelea kusoma habari hii.
Chanzo: Deutsche Welle Kiswahili, 14 Aprili 2012