Watendaji wakorofi waidhibiti SUK Zanzibar

Published on :

Hakuna cha kuficha sasa. Utumishi wa umma ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) unaumwa na unatumiwa vibaya na baadhi ya watu kwa maslahi binafsi. Watendaji wakorofi ndio wagonjwa wenyewe. Kwa muda mrefu, wananchi wamekuwa wakipata simulizi mara kwa mara za misuguano ya kiutendaji inayotokea katika Serikali ya Mapinduzi […]