Njiwa wangu nakutuma, wajibu nitumikie
Njiwa wangu fanya hima, kwa yule nimpendae
Wende ufike salama, na haya muelezee
Ya kwamba ni mahamuma, na chanzo yeye bibiye

Khelef Nassor Riyamy
30 Oktoba 2011
Pemba

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.