Ua hilo jama ua, laninyima usingizi
Ni ua la mkilua, kulipata kwa hirizi
Na miye nalililia, na moyoni sijiwezi
Lanifanyia udhia, kwa yake mengi mapozi
Nifanyeje?

Khelef Nassor Riyamy
5 Disemba 2011
Pemba

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.