Ujana jama ujana, ni jambo lenye kupita
Mfanowe kama jua, pale linapotoweka
Pasipo kuzingatia, tutakuja adhirika
Itatufika kadhia, tubaki kutapatapa

Khelef Nassor Riyamy
31 Disemba 2011
Pemba

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.