Wizara ya Elimu Zanzibar jibuni hili

Published on :

Makala ya Sujae Sijauma Mkiji kwenye ukurasa wa Facebook, 20 Oktoba 2011 Nadhani mmesoma na kusikia kuwa Zanzibar imeingia tafrani juu ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu. Suala hasa ni kuwa mikopo imetolewa kwa ‘aila za kifalme’ za Kizanzibari tu, — tuseme kama vile Uingereza akina Earl Spencer, […]

Kwaheri “Baba Lao’, Allah akuridhie!

Published on :

Leo mwandishi wa habari wa siku nyingi visiwani Zanzibar, Maulid Hamad Maulid, amezikwa kwao Bumbwini, Unguja. Maulid alifariki dunia hapo jana, baada ya kuugua kifua kikuu kwa siku kadhaa. Katika mengi ninayoweza kumkumbuka Maulid ni namna tulivyokuwa tukisalimiana kwa jina la Baba Lao, ambalo kwa hakika lilikuwa ni jina lake […]