Mboga za Jaani

Published on :

Si mboga kwa uhakika, nawaaseni wenzangu Si mboga bali mashaka, hazina ila uchungu Sifaye kuu kunuka, sizitake mlimwengu Mboga zimea jaani, si mboga za kujiliya