zanzibardaima.wordpress.com
Utambulisho wa Zanzibar: Tulipojikwaa na tunapoweza kuinukia
Hapana shaka, inauma mno kukiri kwamba Uzanzibari unapotea. Na hata tunapofikia pahala pa kukiri hivyo, bado inatuwia vigumu kukubali kwamba unapotea kwa kasi ambayo ina maana mbaya sana kwa Wazanz…