Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar siyo yanayoudhoofisha Muungano

Published on :

Makala ya Tundu Lissu iliyochapishwa na gazeti la MwanaHalisi chini ya kichwa cha habari, Muungano wa Tanzania sasa umekuwa dhaifu zaidi, imenishawishi kutoa maoni kwa kuona inaelekeza watu sivyo. Lissu, ambaye ni mwanasheria mwenzangu, anasema mabadiliko ya kumi ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 yamedhoofisha muungano wa Tanzania kwa […]

SUKZ na mambo matatu makubwa

Published on :

Wanaotamani kuivunja Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUKZ) ni sawa na wale wenye kutaka kuendesha gari kwa kutumia kioo cha kutizamia nyuma kila wakati. Watu wa namna hii hata ifanyike miujiza gani Zanzibar basi wataendelea kuponda na kulalamika na wakikipata kifursa basi watalirukia gari na watasema wao ndio waliokuwa […]

SUKZ ni ya kujengwa si ya kubomolewa

Published on :

Siingii kwenye kundi la wanaoajiaminisha kuwa kuikosoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUKZ), au viongozi wa serikali hiyo ni sawa sawa na kuihujumu serikali yetu au kuongozwa na chuki dhidi ya viongozi wetu. Na nina sababu mbili za kuepuka kuingia kwenye kundi hilo: moja ni kwamba, miezi saba […]