Ua la Mkiluwa

Published on :

Ua hilo jama ua, laninyima usingizi Ni ua la mkilua, kulipata kwa hirizi Na miye nalililia, na moyoni sijiwezi Lanifanyia udhia, kwa yake mengi mapozi Nifanyeje?