Zanzibar First VP firm on unity govt

Published on :

Zanzibar First Vice President and the opposition Civic United Front secretary general, Mr Seif Sharif Hamad, has defended his party’s role in the government of national unity with CCM. Mr Hamad was speaking to the Executive Administrative Council of the CUF in Dar es Salaam yesterday, when given an opportunity […]

Mawaziri ni wa serikali si wa vyama

Published on :

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amewatahadharisha Mawaziri walioteuliwa kuziongoza wizara za serikali kutekeleza wajibu wao wakizingatia kuwa ni mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, na sio kufanya kazi kama Mawaziri wa vyama vya CCM na CUF. Balozi Iddi, aliyasema hayo jana alipokuwa akifungua […]

Kikwete, Muungano na Maridhiano

Published on :

“Sura ya pili ya umoja wa nchi yetu ni Muungano wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika uliozaa nchi moja mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 1964. Tunalo jukumu la kihistoria la kuhakikisha kuwa Muungano wetu unadumu na unazidi kuimarika. Nafurahi kusema kuwa […]

Kosa la kwanza la Rais Shein?

Published on :

“Mhe. Rais, sisi mawakili ambao tumetia saini barua hii tukiwa ni wadau wakubwa katika sekta hii, tuna imani kubwa nawe Mheshimiwa Rais, lakini tunaamini washauri wako hawakukutendea haki walipokushauri uwateue Mhe. Fatma, Mhe. Mkusa na Mhe. Rabia kuwa ni Majaji wa Mahkama Kuu. Mhe. Rais, haitoshi tu kusema kwamba Jaji […]