Kikwete, Muungano na Maridhiano

Published on :

“Sura ya pili ya umoja wa nchi yetu ni Muungano wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika uliozaa nchi moja mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 1964. Tunalo jukumu la kihistoria la kuhakikisha kuwa Muungano wetu unadumu na unazidi kuimarika. Nafurahi kusema kuwa […]

Kosa la kwanza la Rais Shein?

Published on :

“Mhe. Rais, sisi mawakili ambao tumetia saini barua hii tukiwa ni wadau wakubwa katika sekta hii, tuna imani kubwa nawe Mheshimiwa Rais, lakini tunaamini washauri wako hawakukutendea haki walipokushauri uwateue Mhe. Fatma, Mhe. Mkusa na Mhe. Rabia kuwa ni Majaji wa Mahkama Kuu. Mhe. Rais, haitoshi tu kusema kwamba Jaji […]