Tunataka Mkataba wa Muungano utekelezwe

Published on :

Sisi ambao tuko hai tunapita katika kipindi cha kusisimua sana. Pepo burudani za matumaini zinavuma katika pembe zote za visiwa vyetu. Karibu katika kila sehemu ya Zanzibar mijadala ya kuvutia inaendeshwa kuhusu hatima za kisiasa za baadae. Ni siri iliyowazi kuwa wananchi bila ya kuogopa au kujificha wanajadili hatima ya […]

Rais Dk. Shein, epuka migogoro ya mapema

Published on :

UBAYA wa utumishi wa umma usiozingatia maslahi ya umma umejithibitisha. Nani waliomshauri Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kufanya uteuzi wa majaji watano, akiwemo Haroub Shehe Pandu ambaye anakuwa Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi? Pamoja na Pandu ambaye anafahamika uwezo wake mkubwa kutokana na rekodi nzuri mahakamani, Rais amewateua […]