Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru: Mapinduzi ya Unguja na athari yake

Published on :

HATA kama hupendi kusoma vitabu; hiki si cha kukosa. Kwanza kimeandikwa kwa Kiswahili fasaha; lugha yetu mama inayoanza kufifishwa na kuchujwa na kizazi kisichosoma vitabu siku hizi. Pili, kimepikwa na mtaalamu halisi. Dk Harith Ghassany alizaliwa Zanzibar akapata shahada ya udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Harvard, Massachussets, Marekani. Harvard […]

Rais Shein, usiwasikilize hawa

Published on :

Na Jabir Idrissa HAPA Zanzibar wapo watu wanachekesha sana . Wanaishi katika ndoto za alinacha. Bado wanaamini hadithi za Alfu lela u lela. Zile za miaka ya ujima. Hawataki kuamini hali ya mambo imebadilika. Wapo nyuma mno kiwakati. Walipomsikia Dk. Ali Mohamed Shein – sasa Rais wa Zanzibar ya maridhiano […]

Siasa za Zanzibar kwenye uchaguzi wa 2010

Published on :

Na Padri Privatus Karugendo KATIKA uzinduzi wake wa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2010 kule Zanzibar, Chama cha NCCR- Mageuzi kilijiandaa vizuri sana kufafanua sera zake ingawa hakikufanikiwa kuvutia wasikilizaji wengi ikilinganishwa na vyama vya CCM na CUF. Pamoja na kuwa na wazungumzaji mahiri wenye uwezo wa kujieleza na kunadi […]