Uhuru wa Ulaya: Kwa nini nisiliye?

Published on :

Saa 1:45 usiku. Kituo kikuu cha treni Hamburg. Treni ya kwenda Bonn inafika. Ilikuwa ifike saa 1:46; lakini imewahi kwa dakika moja. Hifadhi hiyo: imewahi, haikuchelewa. Wajerumani wenyewe wanajisifu kwamba ni pünktlich – wanaofuata wakati. Dakika moja ni nyingi na dakika tano hazivumilikii. Sharti moja la kuishi hapa ni kupoteza […]

Vidokezo na vionjo katika uandishi wa Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru

Published on :

Na Mohammed Said Utangulizi Kwa kipindi kirefu historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ilikuwa ni ile historia rasmi ambayo imeathiri historia nyingi Afrika. Viongozi wa Afrika wanapenda ile historia itakayowakweza na kuwaonyesha wao katika mwanga wa kupendeza. Vinginevyo historia hiyo haitakiwi. Wazalendo wenyewe hawakuwa na hamu ya kuandika historia hii na […]

Sababu tano za Zanzibar Daima

Published on :

Weblog hii imeanzishwa kwa lengo la kujenga jukwaa la mawasiliano kati ya Zanzibar na ulimwengu kupitia mtazamo wa Kizanzibari. Dhamira ni kuiwasilisha na kuiwakilisha Zanzibar. Imani kuu ya weblog hii ni Uzanzibari, ambalo ni jambo la fakhari kwa kila Mzanzibari awe anaishi ndani ya mipaka ya Zanzibar au nje yake. […]