JK awafokea UVCCM

Published on :

Na Francis Godwin, Iringa SIKU moja baada ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Hamad Yusuph Masauni na Naibu Katibu Mkuu, Mohamed Moyo, kutokana na kuibuka kwa tuhuma mbalimbali na makundi ndani ya umoja huo, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete, amewataka […]

Karume: Mseto lazima

Published on :

• Ataka wananchi wajifunze kilichotokea Uingereza na Mauwa Mohammed, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume, amesema Wazanzibari wanapaswa kuamka na kujifunza kutoka nje kuhusu mabadiliko ya kisiasa yanayotokea na kuhimiza umoja na mshikamano. Alisema hakuna hata mtu mmoja aliyetarajia kwamba nchi kama Uingereza […]

JK: Masauni kajimaliza mwenyewe

Published on :

Na Leon Bahati, Iringa MWENYEKITI wa CCM Rais Jakaya Kikwete, amepiga msumari wa mwisho kwa aliyekuwa mwenyekiti wa UVCCM Hamad Yusuph Masauni, akisema alijimaliza mwenyewe kwa kutokuwa mkweli kuhusu umri wake na watu wasitafute mchawi. Kauli hiyo ya mwenyekiti wa CCM taifa ilizidi kummaliza kijana huyo ambaye tayari alijikuta katika […]