Muungano unaumwa, lakini tunatibu dalili

Published on :

NI Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyetuonya: “Afichaye maradhi, kilio kitamuumbua”. Usemi huu una uhusiano muhimu leo na hali ya sasa ya Muungano wetu ulioasisiwa Aprili 26, 1964, kuunda nchi inayoitwa sasa Tan–zan-ia. Muungano wa Tanzania unaumwa; umekuwa hivyo tangu 1964. Maradhi yanayousibu tunayajua, lakini hatuyasemi ili kuyapatia […]

Maazimio ya MUWAZA juu ya hadhi ya Zanzibar

Published on :

MAAZIMIO YA MUWAZA KATIKA MKUTANO WA TAREHE 25.04.2009 JIJINI LONDON INATANGAZA MGOGORO WA KISIASA WA ZANZIBAR Na kutamka kwamba ni ukweli usiopingika kwamba Tarehe 12.01.1964 Chama cha ASP kiliipindua Serikali ya ZNP na ZPPP Na kutamka kwamba Tarehe 26.04.1964 Chama cha TANU kiliipindua Serikali ya ASP Zanzibar Na kwamba tarehe […]