Je, SMZ haina vipaumbele?

Published on :

Date::2/24/2009 Na Ally Saleh HIVI sasa Serikali ya Dk Amani Karume iko katika mwaka wake wa nne tokea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2005, ambao kama ilivyokuwa chaguzi nyengine mbili za 1995 na 2005 ulikuwa na utata. Si madhumuni ya makala hii kuzungumzia tata hizo kwa sababu mwandishi anaamini hayo yamepita […]

Zanzibar Vision 2015

Published on :

By Salim Said Rashid This Proposition occurs at a time when there is unprecedented debate on the future of Zanzibar and while the debate was short lived in parliament and in the media before it was discontinued by the Government of the United Republic of Tanzania, what started out as […]

Kikwete na Mapinduzi yake, Wazanzibari na ‘mchezo’ wao

Published on :

Rais Jakaya Kikwete alikuja mjini Zanzibar tarehe 25 Januari 2009 na akanukuliwa akiapa kwamba hatamvumilia yeyote anayeyachezea Mapinduzi. Kwa hakika hakikuwa kiapo tu, bali pia kilikuwa ni kitisho: “Kama mtu hajipendi, achezee Mapinduzi aone.” Ilikuwa kauli nzito, lakini si ngeni kutoka kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), hasa wanaotokea […]