‘Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru’, kitabu kipya kuzinduliwa rasmi

Published on :

TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI 12 Disemba, 2009 ‘Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru’, kitabu kipya kuzinduliwa rasmi Wapendwa Wanahabari, Ufunuo mpya juu ya uhalisia wa Mapinduzi yaliyofanyika Zanzibar mwaka 1964 sasa umo kwenye maandishi. Matukio na uchambuzi wa matukio hayo, ambayo yamekuja kuubadilisha kabisa mstatili wa mambo katika dola ya Zanzibar […]

What next after Karume and Maalim Seif U-turn?

Published on :

By Issa Yussuf MYSTERY still surrounds the recent move by Zanzibar President Amani Abeid Karume and CUF’s Secretary General Seif Sharif Hamad to put aside their political differences in a move both have described as aimed at promoting peace, stability and unity in Zanzibar. No one has yet given a […]

Tumedhamiria kwa dhati kuijenga Z’bar mpya – Karume

Published on :

Na Salma Said, Zanzibar RAIS Wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani Abeid Karume amesema yeye na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad wamesafisha nyoyo na kusameheana kwa dhati kama maadili yao yanavyowaelekeza. Akihutubia katika hafla ya baraza la Eid El-Hajj lilifanyika katika […]

Tatizo si Upemba, ni uelewa

Published on :

Hii ni makala niliyoiandika wiki iliyopita kujibu makala ya mwandishi Abdul-Ghaffar Idrissa katika gazeti la Nipe Habari la tarehe 20 Novemba 2009 kwa jina la “Je, tatizo ni huu Upemba wetu?” Itakuwa kosa la kimantiki ikiwa makala ya Abdul-Ghaffar Idrissa ‘Je, tatizo ni huu ‘Upemba’ wetu?’ iliyochapishwa na gazeti hili […]