Wazanzibari hatulitambui tamko la SMZ

Published on :

Kuelekea uvamizi wa Uingereza na Marekani dhidi ya Iraq mwaka 2003, waandamanaji waliokuwa wakipinga uvamizi huo jijini London walibeba bango linalosomeka: “No, Blair. Not in our name!” Waandamaji hawa walikuwa wakimkana aliyekuwa Waziri Mkuu wao, Tony Blair, aliyekuwa ameshirikiana na Rais George Bush wa Marekani kushinikiza kwamba uvamizi huo ungelikuwa ni […]

Nyerere against Islam in Zanzibar and Tanganyika

Published on :

By Khatib M. Rajab al-Zinjibari Preamble “Without any question, the manner and the implications of the union between Tanganyika and Zanzibar is the most misunderstood aspect of Tanzania’s political development. It may not matter very much when foreigners get confused, but unfortunately there are many times when Tanzanians themselves appear […]

Paspoti irejeshwe

Published on :

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetakiwa kuangalia upya suala zima la kurejesha utumiaji wa pasi za kusafiria baina ya Visiwa hivyo na Tanzania Bara ikiwa ni njia ya kuilinda Zanzibar na uhalifu ongezeko la watu. Mjadala mkali umezuka katika Baraza la Wawakilishi kuhusu Sera ya Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi ambapo baadhi […]