Muungano na ajenda ya siri dhidi ya Zanzibar

Published on :

MIMI si mmoja ya wale wanaoamini kwamba Muungano wa Tanganyika na Zanzibar pale mwaka 1964 ulitokana na dhamira njema walizokuwanazo wale tunaowaona kuwa waasisi wake, Sheikh Abeid Karume wa Zanzibar na Mwalimu Julius Nyerere wa Tanganyika. Sikubali kwamba msukumo wa kuungana kwa nchi hizi ulikuwa ni hisia za umoja na […]

Kificho usifiche kisichofichika

Published on :

Nilitaka sana Spika Kificho asahau utiifu wake kwa mabwana wa Chimwaga na akumbuke sana utiifu wake kwa Zanzibar. Athamini kwamba hadi leo, sisi Wazanzibari tuliompa Uspika, tungali tukiendelea kujinasibu, kujilabu na kujilindia Uzanzibari wetu. Sikutaka atumie nguvu zake kuzima mchemko wa fikra za kizalendo kutoka kwa umma na wawakilishi wao […]

Tanganyika iliila keki yake na bado inayo

Published on :

Baada ya Wazanzibari kujitokeza kupingana na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda iliyoitangaza Zanzibar si nchi, mtazamo wa jumla kutoka upande mwengine wa Muungano huu, yaani Tanganyika, umekuwa wa kihasama zaidi. Umekuwa ni wa kuwakumbusha Wazanzibari ule msemo wa kale wa Kiengereza: you can not eat your cake and have […]