Malengo ya MUWAZA

Published on :

KONGAMANO LA MUSTAKBAL WA ZANZIBAR DIS. 13-14, 2008, LONDON MUWAZA NA MALENGO YAKE Dr. Yussuf S. Salim Ni furaha kubwa kwamba leo Wazanzibari wa kila itikadi tumekutana hapa London kwa makusudi ya kutafuta njia za kuinasua nchi yetu baada ya miaka zaidi ya 44 ya Muungano. Kutokana na kuzinduliwa kwamba […]

Zanzibar bila Muungano inawezekana

Published on :

Na Prof. Ibrahim Noor Fikra ya kuwa Zanzibar haiwezi kuishi bila ya Tanganyika najua kuwa si sawa, ni fikra iliyokwisha kuelezwa na wakoloni wa Kiingereza kama tulivyonaqiliwa na Dr. Harith qabla ili kutujaza woga tusiweze hata kuhoji ukweli na uwongo wake. Kwanza tukumbuke kuwa nchi jirani zisizokuwa na vita hazina […]