Kwa mara ya pili, Ally Saleh amenipa heshima ya kusema machache katika utambulisho wa kazi yake hii adhimu ya kifasihi, Jumba Maro. Mara ya mwanzo ilikuwa ni katika uzinduzi wa kitabu hiki uliofanyika Zanzibar tarehe 24 Septemba, 2005.

Jana, Leo na Kesho

Huu ni uhakiki wa kitabu cha khadithi fupi fupi zilizotungwa na Ally Saleh ambapo hii inakuwa ni kazi yake ya pili baada ya ile ya mashairi huru iliyopewa jina la CHANGAMKA. Nimetakiwa niseme mawili matatu katika uzinduzi wa kazi hii adhimu ya Jumba Maro, ambayo ni maoni yangu kwamba imekuja […]
Nipo nje ya nyumbani kwa wiki moja na kitu sasa, lakini nafuatilia kwa karibu, kupitia mitandao, mambo yanavyoendelea kwetu. Nimeona kuwa kwa mara nyengine tena, Zanzibar imeonekana kwenye magazeti ya Tanganyika. Wenyewe, ukimtoa Mchungaji Christopher Mtikila na kaumu yake, hawataki waitwe Watanganyika. Wanajidai kwamba kuna Tanzania tu. Hata sherehe za […]