Bila ya nguvu za dola na vurugu, CCM wepesi

Published on :

Naandika makala hii refu baada ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Robert Manumba, kujitokeza wiki mbii zilizopita kuwaasa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hasa wenyekiti Freeman Mbowe na Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe, kwamba wachunge kauli zao maana zinaweza kuwaweka pabaya kwa vile zina […]