Alichokikosea Mkapa kuhusu Muungano

Published on :

VYENGINEVYO Rais Benjamin Mkapa aishereheshe upya hotuba yake ya Miaka 40 ya Muungano lakini, ikiwachwa kama ilivyo, itabakia kuwa mtiririko wa sentensi zilizokosa mantiki na hoja ya kushika. Hata iwe kweli ujumbe uliomo ndani yake umefika, imekuwa hivyo kwa sababu ya hamasa na jazba, na wala sio kwa mkufu wa […]