Serikali, dini na maslahi ya kisiasa

Published on :

NAMNA akili zetu zilivyolemazwa kwa siku nyingi, tumefikishwa pahala ambapo tunaogopa hata kuizungumzia nafasi ya dini katika maisha yetu wenyewe. Wenye khatamu za ulimwengu na za nchi wametufanya tuone, na tuamini, kuwa kuihusisha dini na maisha ya kila siku ni ugaidi, au kasoro yake huita siasa kali.

Zanzibar ina wenyewe

Published on :

TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Tume ya Uchunguzi ya Kituo cha Katiba cha Afrika ya Mashariki inasema kuwa “Wazanzibari wana uzalendo wa hali ya juu na wanajivunia sana Uzanzibari wao… mila na utamaduni wao, bila ya kujali tafauti zao za kisiasa…. wanaamini kwamba Zanzibar ni dola na Muungano ni makubaliano […]

Zanzibar: Not yet Uhuru?

Published on :

TUNAKARIBIA kuadhimisha miaka 40 ya Mapinduzi ya Januari 1964 ya Zanzibar yaliyotanguliwa na uhuru wa Disemba 1963 uliodumu kwa mwezi mmoja. Kichwani mwangu nalikumbuka shairi The Beautiful Cesspool, ambalo, kama sikosei, liliandikwa na Dennis Brutus. Ninalikumbuka kwa kuwa linaelezea mkanganyiko uliopo baina ya uhuru wa dhati na uhuru wa jina. […]

Kuwaambia wakubwa ‘Hapana’ kuna gharama zake

Published on :

SIKUSUDII hata kidogo kuifanya makala hii kuwa hati ya kihistoria kwa kuchelea kuwachosha wasomaji wangu. Lakini nina lengo la kukizungumzia kisibu kinachoelekea kumsibu Sheikh Ali Nabwa, kwa upande mmoja, na Dira, kwa upande mwengine, katika muktadha wa yale yawapatayo wanaharakati walio na fikra tafauti na watawala wao. Kwa ajili hiyo, […]