Hapana, Mkapa hukuwa Rais mzuri

Published on :

Kihoro kilichomuingia Mwalimu Nyerere kwa kuangushwa na chaguo lake, naamini, kilisaidia kuzisogeza siku zake haraka kuelekea kuzimu. Si mchezo mtu wa heshima kama yeye kunyanyuka katika umri ule kuzunguka nchi nzima na kumnadi mtu wake, kisha mtu huyo akaja kumwangusha mwangusho wa kioo – ulio vigumu kuungika tena. Mwalimu Nyerere […]

Saa ya ukombozi ni hii

Published on :

HISTORIA inaonesha kuwa harakati za kijamii kujikomboa kutoka minyororo ya idhilali na dhulma zina mtandao na wigo mpana. Watawala wetu huwa hawapendi kulisikia neno ‘kujikomboa’ likitajwa katika siasa za sasa hivi kwa madai kuwa wakati wa Mwafrika kujikomboa umeshapita, maana hatawaliwi tena na mkoloni.

Spika Kificho waficha nini?

Published on :

KATIKA siasa, tunaambiwa kuwa ufanisi wa utawala hupatikana kwa kutegemea uongozi na usimamizi madhubuti wa vyombo vinne vikubwa, ambavyo kila kimoja kati yake hutarajiwa kuwa na uhuru usioingiliwa na chengine – chombo cha kuunda sheria, kanuni na taratibu za kuongozana, cha kuzifanyia kazi sheria hizo, cha kuzisimamia sheria hizo kuhakikisha […]